Wednesday, May 3, 2017

CHAPISHO LA MAJARIBIO

MBIO ZA MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LINDI NI MWEZI MAY 2017
 Wataalamu na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi wakitoa heshima zao kwa Mwenge wa Uhuru baada ya makabidhiano kutoka Manispaa ya Lindi katika kiwanja cha michezo Mchinga 1 mwaka 2016
 Mbunge wa Mtama Mh. Nape Moses Nnauye akiwahi tukio moja katika mbio za Mwenge mwaka 2016
 Baadhi ya Wakuu wa Idara wakisubiri makabidhiano ya Mbio za Mwenge wa Uhuru katika eneo la Mchinga mwaka 2016
 Kikundi cha Ngoma za Utamaduni kutoka kijiji cha Kilangala Lindi Vijijini wakitumbuiza wakati wa Mbio za mwenge mwaka 2016

No comments:

Post a Comment